Top Stories

Ujenzi daraja la JPM kukamilika kabla ya wakati, Wezeshi lakamilika 100% (+video)

on

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella ametembelea Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi Mwanza lenye urefu wa kilometa 3.2 ambalo litagharimu kiasi cha Bilion 700, Kaimu Mkurugenzi Tanroads Mhandisi Vedastus Maribe amesema tayari Daraja la wezeshi limekamilika 100% huku Daraja la kudumu limefikia asilia 26%.

Soma na hizi

Tupia Comments