Top Stories

Ujenzi Stand mpya ya Mabasi Dar wafikia 80% (+picha)

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge ametembelea ujenzi wa Stand mpya ya Mabasi  inayojengwa Mbezi Luis Dar es salaam na kusema ujenzi huo umefikia asilimia 80 >>> “Ni kituo cha kimataifa, kutakuwa na Shopping Mall, parking, maduka, jengo la utawala nk lengo ni kuboresha huduma kwa Wananchi, Ubungo ni padogo”

Mkuu wa Mkoa wa Dar Aboubakar Kunenge

Soma na hizi

Tupia Comments