Top Stories

Ujenzi wa Daraja la Wami ulipofikia, RC Kunenge afika kushuhudia “Tutatokomeza Ajali”

on

Ujenzi wa daraja la Wami umekalimika kwa asilimia 57.5 ukiwa umebakisha asilimia 42.5 kukamilika kwa Ujenzi wa daraja hilo.

Meneja wa TANROADS Mkoa wa Pwani Mhandisi Andrea Kasamwa ameeleza kuwa Ujenzi wa daraja unatumia takribani bilioni 67.8 na kukamilika kwake utakuwa umerahisisha kupita kwa magari yanayoelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha.

Kwa upande Mkuu wa Mkoa Aboubakar Kunenge amewahakikishia wakandarasi wa Ujenzi wa hilo kuwa pesa za mradi huo zipo na kumshukuru Rais wa Samia kwa kuipatia miradi mikubwa ya kimkakati katika mkoa wake ikiwemo daraja hilo lililopo halmashauri ya chalinze, bandari kavu iliyopo kwala pamoja na Bwawa la mwalimu nyerere.

SPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI “WANAOZAA WATOTO NJITI KUNA HAJA SHERIA IREKEBISHWE WAONGEZEWE LIKIZO”

KAMANDA ALIEMPINDUA RAIS CONDE AWASILI KWENYE MKUTANO WA ECOWAS, ‘AIBUKA NA ULINZI MKALI”

Tupia Comments