Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wale wa Diamond Platnumz, ujenzi wa nyumba yake unaendelea… kapost hii picha leo
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Wale wa Diamond Platnumz, ujenzi wa nyumba yake unaendelea… kapost hii picha leo
Habari za MastaaNyumba/ MijumbaStori Pekee

Wale wa Diamond Platnumz, ujenzi wa nyumba yake unaendelea… kapost hii picha leo

January 8, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

Screen Shot 2014-01-08 at 10.10.01 PM Ni staa ambae kila jicho la habari limekua likimuangalia kila wakati, kila anachofanya hata kama ni cha kawaida kimekua ni stori na kinapata wepesi kuwafikia Watanzania bila yeye kuweka nguvu nyingi.

Pamoja na kwamba amekua kwenye headlines, Diamond amekua akisifika pia kwa kuthamini Watanzania wenzake na kuwapa ajira kupitia mgongo wake, amekua na timu anayozunguka nayo kila anapokwenda kwenye matukio yake lakini pia ameonyesha uzalendo zaidi kwenye ujenzi wa nyumba yake kwa kuwapa shavu la ujenzi Watanzania wenzake.

Huenda 2014 ukawa mwaka ambao mashabiki wake watashuhudia kumalizika kwa nyumba yake ambayo ni miongoni mwa maendeleo yake yaliyobadilisha fikra za vijana wengi wa Kitanzania kwamba muziki unalipa bigtime.

Hapa chini ni picha ya swimming pool a.k.a bwawa la kuogelea analolijenga nyumbani kwake ambalo baada ya kuweka hii picha, ameiambatanisha na hayo maneno hapo chini.

Screen Shot 2014-01-08 at 9.52.40 PM

Screen Shot 2014-01-08 at 9.48.16 PM

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

Picha: GSM Home Pugu, nyerere Road, bidhaa zao sio mchezo, inogesha nyumba yako

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Millard Ayo January 8, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ronaldo amejibuje alipoulizwa kama atahudhuria Ballon d’Or? na akishindwa je?
Next Article Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 8
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
Magazeti June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?