Video Mpya

VideoMPYA: Singah amekuja na ‘Balance it’ kwenye macho na masikio yako

By

on

Kutokea Nigeria kutana na Singah ambaye alitamba na ngoma ya ‘Teyamo’ miezi kadhaa iliyopita, sasa amekuletea nyingine ya kuburudika nayo inaitwa ‘Balance it’, fanya kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: ZARI AFIKA KUTOA POLE NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE MENGI

Soma na hizi

Tupia Comments