Habari za Mastaa

Sugu kafungwa gereza la V.I.P?

By

on

Story kubwa ambayo ilichukua headlines wiki kadhaa zilizopita ni kuhusu Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Prof Jay’ kuonekana kumtembelea Sugu akiwa gerezani na wengi kusema kuwa Sugu amefungwa gereza la VIP baada ya kuhukumiwa miezi mitano jela.

Je kuna ukweli wowote kuhusiana na hilo??? Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza alichozungumza Prof Jay.

Umepitwa na Member mwenzake Prof Jay aeleza alivyoacha matumizi ya dawa za kulevya??

Soma na hizi

Tupia Comments