Habari za Mastaa

“Wanaume wanaotumia neno ‘Kudamshi’ wanahitajika”- Idris Sultan

on

Mchekeshaji Idris Sultan ametaka apewe list ya majina ya wanaume wanaotumia neno kudamshi ikiwa neno hilo limetrend mtaani na kutumika hasahasa kuwapa sifa wanawake waliopendeza.

Idris katumia ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa endapo atapewa list hiyo basi atazungumza nao maneno machache na kutoa onyo kuwa hatowaumiza kwa kuwavunja vunja viungo.

“Kwa taarifa zilizonifikia hivi punie kuna wanaume wanatumia neno KUDAMSHI tunaomba tupewe majina yao tuzungumze nao machache tu, wala hatutowabamiza tuwavunje vunje kiungo kimoja kimoja”

TOP 5: Hizi ndio baadhi ya nyimbo anazozipenda Thomas Ulimwengu

Soma na hizi

Tupia Comments