Habari za Mastaa

Mwanamke wa kwanza TANZANIA kupata DEGREE apata Tuzo ya Heshima

on

Mfahamu Dkt Maria Kamm akiwa mwanamke wa kwanza Tanzania kupata Degree na kwa maisha yake ya miaka 53 ameyatumia kuwashauri vijana na kuwaelimisha kwa kuwapa elimu ya bure na pia aliwahi kuwa mwalimu mkuu katika shule ya Sekondari ya Weruweru Moshi.

“Mimi tayari ni Baba wa Watoto Wawili” –IDRIS SULTAN

Soma na hizi

Tupia Comments