Burudani

Ujio wa Rapper Cardi B Afrika mwezi Desemba, nchi mbili kushuhudia burudani yake

on

Ni Headlines za Rapper wa kike kutokea ardhi ya Trump Belcalis Marlenis aka Cardi b anatarajiwa kutoa show ya nguvu Afrika

Rapper huyo anatarajiwa kupiga show nchini Ghana mwezi Desemba tarehe 8 katika Tamasha liitwalo Livespot X Festival uwanja wa mpira huko katika mji wa Accra.

Kwa mujibu wa YEM.com.Gh wamesema kwamba Cardi B ataanzia kutembelea nchini Nigeria Desemba 7 na kisha kuelekea GHANA kwaajili ya show yake.

Sasa Ujio wa Cardi B nchini Ghana mashabiki wamtaka aimbe live jukwaani wimbo mpya aliorekodi na Sarkodie
Hapo awali imedaiwa kwamba Cardib na Sarkodie tayari wameshafanya collabo ya pamoja ila bado haijajulikana lini itatolewa rasmi

ULIIKOSA HII YA KHADIJA KOPA KUTOKWA  NA MACHOZI, RC MAKONDA ASHINDWA KUJIZUIA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments