Habari za Mastaa

Miss TZ Queen Elizabeth atajwa miongoni mwa Washiriki wanaoweza kunyakua taji Miss World

on

Miongoni mwa washiriki waliofanikiwa kuchaguliwa kuwania taji la Miss World 2018 kati ya warembo 113 ni pamoja na Miss Tanzania 2018 QueenElizabeth Makune ambaye jina lake linatajwa kati ya washiriki watano wanaoweza kushinda taji la Miss World 2018.

Mtandao wa ‘Go Pageant’ umetaja warembo 15 kati ya 113 waliochaguliwa kuwania taji la Miss World mwaka 2018 kuwa ndio wana nguvu au ushawishi mkubwa na kuna uwezekano mshindi akatoka katika Top 15 hiyo iliyotajwa na mtandao huo.

Miss Tanzania 2018 QueenElizabeth Makune katika list hiyo anashika nafasi ya nne ikiwa nafasi ya kwanza inashikiliwa na Shrinkhala kutokea Nepal, ya pili inashikwa na Dayana kutokea Pueto Rico na nafasi ya tatu inashikiliwa na Natalia kutokea Russia.

VIBE KAMA LOTEE LIMERUDI BOSS KUSAGA KASEMA “FIESTA LAZIMA MWAKA HUU”

Soma na hizi

Tupia Comments