Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ujumbe wa mapenzi wa Nandy kwa Billnass baada ya kuvishwa pete
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Ujumbe wa mapenzi wa Nandy kwa Billnass baada ya kuvishwa pete
Habari za MastaaMix

Ujumbe wa mapenzi wa Nandy kwa Billnass baada ya kuvishwa pete

April 12, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Mwimbaji Nandy amemuandikia ujumbe wa kimapenzi mchumba wake Billnass akimtakia kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa.

Nandy amepost ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni siku chache baada ya kuvishwa Pete ya uchumba na Billnass.

…>>>”Kwanza happy belated birthday mchumba wangu mpenzi!! @billnass Kama nilivyo ikubali hii pete basi nimekubali mazuri na mabaya yako kutoka moyoni hakika wewe ni mwanaume wa maisha yangu you know I LOVE YOU PY 😍

”so……Sina mengi ya kuandika hapa sababu nimeyamaliza yote mbele ya uso wako! Safari ndio kwanza inaanza MUNGU wetu ni mkuu sana alituvusha na hata hili tutavuka salama! Asanteni wote kwa hongera mlizo nipa na kwa kuangalia pia show ya HOMA tuko pamoja more BLESSINGS 🙏🏻 Officially William fiancé🚨” – Nandy

You Might Also Like

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji matela ya kusafirishia mabomba ya EACOP

NIC washinda tuzo 7 ndani ya mwaka 2023

TAGGED: bongoflevanews
Victor Kileo TZA April 12, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo April 12, 2020
Next Article VIDEO:Mwigizaji Lulu aingia mtaani, aguswa na mama ntilie agawa vifaa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?