Habari za Mastaa

Member mwenzake Prof Jay aeleza alivyoacha matumizi ya dawa za kulevya

on

Ukiongelea Muziki miaka ya nyuma miaka 1999-2000 na ukataja makundi ya muziki ambayo yalikuwa yanafanya vizuri miaka hiyo hauwezi kuacha kutaja kundi la Hard Blasterz ambalo liliundwa na star wa muziki Fanani ukiachilia mbali na Profesa Jay.

Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv Fanani ameelezea ishu nzima ya kupotea katika muziki na kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya.

Ulipitwa na maneno ya Prof Jay kazungumza kuhusu  Sugu kufungwa gereza la VIP???

Soma na hizi

Tupia Comments