AyoTV

VIDEO: Huu ndio mchanganuo wa Trilioni 4 ulioombwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

on

Bunge la 11 limeendelea Dodoma, na leo May 17 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwasilisha hotuba yake pamoja na kuomba kupitishiwa bajeti yake ijayo.  Kazi imefanywa na Waziri  wake Makame Mbarawa ambaye ameanza na kuzitoa changamoto za Wizara…

Mwisho Waziri Mbarawa akasimama kuomba fedha…>>>Katika mwaka 2016/2017, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 4,895,279,317,500.00’. Kati ya fedha hizo, Shilingi 2,212,141,496,500.00 ni kwaajili ya Sekta ya ujenzi

Shilingi 2,587,333,762,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Uchukuzi na Shilingi 95,804,059,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Mawasiliano ‘

Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa chini kwenye hii video…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments