Habari za Mastaa

CHUCHU HANS: kwa kujing’atang’ata ”sizai tena na Ray Kigosi”

on

Mwigizaji Chuchu Hans amejikuta akipata wakati mgumu kujibu kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi na staa mwenzake Ray Kigosi ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa kiume baada ya uvumi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii wakidaiwa kuachana.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Chuchu akizungumza.

VIDEO: UWOYA ADAI ALIYEMPAKATA NDANI YA TRENI NI MRITHI WA DOGO JANJA

Soma na hizi

Tupia Comments