Top Stories

Ukali wa Waitara kwa waliosema ujenzi umekwama Kimara-Kibaha (video+)

on

Serikali imewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia misingi ya taaluma ya uandishi wa habari pindi wanapotekeleza majukumu yao pasipo kuleta taharuki kwa jamii na Taifa.

Aidha waandishi hao wameaswa kupata taarifa sahihi hasa za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia vyanzo sahihi.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, ameyasema hayo leo wakati akikagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa barabara ya Morogoro (Kimara – Kibaha) km 19.2 kuwa njia nane ambao ujenzi wake umefikia asilimia 94 na kubakiza kazi ndogondogo ambazo zinatarajiwa kumalizika  mwisho wa mwezi Disemba, 2021.

WAMILIKI WA VYOMBO WASIOLIPIA PARKING KUPIGWA FAINI “HATUTOI RISITI, HAKUNA EGESHO LA BURE”

WAZUNGU WAFIKA LINDI KUJIONEA MABAKI MENGINE YA MIJUSI (DINOSAUR) ILIYOISHI MIAKA MIL. 150 ILIYOPITA

Soma na hizi

Tupia Comments