Top Stories

Ukatili wa kutisha mke amchinja Mumewe na kumzika, mizimu yamfanya akiri Polisi

on

Nancy Majonhi Nancy Majonhi mwenye umri wa miaka 42 ambaye ni mwanamke wa nchini Zimbabwe amekiri kumuua kwa kumchinja mumewe mwenye umri wa miaka 44 aitwaye Prosper Chipungare, tukio ambalo lilijiri nyumbani kwao mwaka 2015 katika Kijiji cha Ledig jimboni Sun City, Afrika Kusini walikokuwa wakiishi kabla ya mwanamke huyo kurejea kwao, Zimbambwe.

Soma na hizi

Tupia Comments