Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Serikali imesema haita mvumilia Mwalimu atakaye fanya vitendo vya ukatili Kwa mwanafunzi huku ikiwataka maafisa elimu kuwashughulikia walimu watakaobainika kufanya vitendo hivyo.

Rai hiyo imetolewa na kaimu Katibu mkuu TAMISEMI Vicent Kayombo wakati akizungumza na Maafisa elimu wilaya na mkoa na wakufunzi vyuo vya Elimu ambapo amesema ni aibu kuona Mwalimu anafanya vitendo vya ukatili kwa watoto wadogo

Amesema hivi karibuni imesambaa video ikimuonesha Mwalimu akimuadhibu mwanafunzi Kwa njia tofauti Muongozo wa Sera ya Elimu Jambo ambalo limezua taharuki Kwa Jamii.

“Sitarajii kusikia Mwalimu amefanya ukatili Kwa mwanafunzi huku afisa elimu wilaya yupo na mkoa yupo haileti picha nzuri lazima mkasimamie mienendo ya walimu kazini”

Kwa upande wake Venance Manori Kaimu Mkurugenzi Elimu Msingi amesema wanafunzi wa shule za Msingi ni watoto wanapaswa kuelekezwa Kwa upole bila kutumia nguvu ili waendelee kupenda shule.

Anasema Serikali inatumia fedha nyingi katika kugharamia elimu bila malipo hivyo walimu na wazazi wanawajibu kushirikiana kwenye malezi ili lengo la Serikali litimie.

You Might Also Like

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

Edwin TZA January 28, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 28, 2023
Next Article Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?