Mix

Full stori Watanzania wanavyofanyiwa vitendo vya kikatili India….(+Audio)

on

Stori za Waafrika kufanyiwa vitendo vya kikatili katika nchi mbalimbali duniani zimezidi kukamata headline, hii ya sasa iliyonifikia ni kutokea India ambapo kuna Mtanzania alivamiwa na kufanyiwa vitendo visivyofaa.

Ishu imekuwa kubwa hadi kufika bungeni, na hapa chini kwenye hii sauti kuna full stori ikiwa ni pamoja na ya Muigizaji Juma Chikoka (Mchopanga)

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwapia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments