Top Stories

Video ya msafara wa Lowassa barabarani mpaka ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya Urais

on

DSC_0727

Timu ya millardayo.com ilikusogezea updates zote kila kilichokuwa kinaendelea August 10 2015 katikati ya Dar es Salaam, ilikuwa ni msafara kuanzia Buguruni, kupitia Ilala Kariakoo mpaka Posta kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi NEC ambapo Wagombea Urais wa Umoja wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa na Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza) walienda kwa pamoja kuchukua Fomu.

Tayari nimeiweka karibu na wewe hii video uone njia nzima msafara ulivyokuwa mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments