Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Top Stories

“Nimetumia dawa za UKIMWI miaka 10 nimekuja kugundua sina UKIMWI, nilipewa majibu ya Mtu mwingine kimakosa” (+video)

on

Frederick Richard anasema juzi ndiyo yeye na Familia yake wamethibitisha kwamba alipewa majibu ya Mtu mwingine kimakosa Hospitali alipokwenda kupima afya yake na kuambiwa kwamba ana virusi vya UKIMWI,  miaka 10 baadae wamekuja kujiridhisha kwamba hana virusi vya UKIMWI bali alipewa majibu ya Mtu mwingine, bonyeza hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

MTANZANIA ALIEBUNI UMEME WAKE “HAUJAKATIKA KWA MIAKA MINNE”

MWANAMKE ALIEPATA MIMBA BILA KULALA NA MWANAUME ASIMULIA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments