Top Stories

Ukikatwa CCM “Tutakuchapa hukohuko utakapoenda utakuwa umetangaza vita na mimi” Bashiru

on

Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally amesema Mwanachama wa CCM atakaye shindwa katika kura za maoni ndani ya Chama na kuamua kuhamia Upinzani atakua ametangaza mapambano ya Kisiasa na Ofisi yake.

“Atakaye hama na mbinu zetu na mtaji wetu ni halali yake na uhuru wake lakini kumfuata huko na kumshinda nayo ni haki yake, kwa sababu hawatakua wengi hao niachie mimi hii habari ya kuhama halafu nyumbani kunanoga unarudi hapana, zamu hii ukienda ata kukinoga baki hukohuko” Dr. Bashiru

DKT. BASHIRU AISHUKIA WIZARA YA KILIMO “HATUJAFANYA VIZURI USIMAMIZI SIO MZURI”

Soma na hizi

Tupia Comments