AyoTV

“Ukitoka Simba na Yanga huwezi kucheza, Wamekinai mazuri ya Kaseja”

on

Golikipa wa Club ya KMC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Juma Kaseja ameongea kuhusiana na kurejea kwake katika kikosi cha timu ya taifa, Kaseja ameeleza kuwa kuachwa kwake awali haikuwa sababu ya uwezo wake kushuka lakini ilikuwa ni kutokana na watu kukinai mazuri yake lakini anashukuru kwa kocha Etienne kumrudisha timu ya taifa.

VIDEO: TIMU YA KASEJA IMEPIGWA 6-1 NIYONZIMA AKAMFANYIA INTERVIEW😂😂😂

Soma na hizi

Tupia Comments