Top Stories

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amwandikia Rais Magufuli

on

Ninayo hii ambayo inatoka kwenye Taifa jirani la Kenya ambapo Rais wake ambae ni Uhuru Kenyatta amechukua muda wake kumuandikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli na barua hiyo kuchapishwa pia kwenye Facebook page yake.

Barua hiyo ya Rais Uhuru ni masikitiko yake kufuatia mauaji ya Wanajeshi 15 wa Tanzania waliouwawa wakilinda amani kwenye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Serikali ya Kenya itasimama na Serikali na watu wa Tanzania kutafuta amani na maendeleo ya siku za usoni katika eneo hili.” – Uhuru Kenyatta

VIDEO: KITU JPM AMEONGEA KUHUSU MWENYEKITI WA UVCCM ALIEKAMATWA,BONYEZA HAPA KUMTAZAMA

KITU JPM AMELIAMBIA JESHI LA MAGEREZA BAADA YA KINA BABU SEYA KUACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments