Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
Share
Notification Show More
Latest News
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi yaliokuwa yakisubiriwa kwa muda mrefu, Rais Volodymyr Zelensky alisema katika mahojiano ya Wall Street Journal (usajili unahitajika), iliyochapishwa Jumamosi.

“Kusema kweli sijui itachukua muda gani. lakini tutatathmini hali itakavyokuwa, itakuwa tofauti kabisa. Lakini tuko tayari, “Zelensky alisema

Kulingana na Rais Zelensky, mamlaka nchini Ukraine na jeshi lake inaamini mashambulizi hayo yataiwezesha Ukraine kukomboa maeneo yake yaliyokaliwa kwa muda na adui na yatabadilisha mkondo wa vita.

Mwezi Mei, Volodymyr Zelensky alisema kuwa Kiev ilikuwa bado inakusanya silaha kutoka nchi za Magharibi, ndiposa shambulio lilichukua muda kuanza.

You Might Also Like

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA June 3, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Next Article Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
Entertainment September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi

September 27, 2023
Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Top Stories

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?