Stori Kubwa

Ukweli wa Profesa Kabudi:”Maeneo ambayo sitamani kwenda katika Ofisi ni chooni” (+video)

on

Leo Februari 6, 2019 Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amezindua jengo jipya la Mahakama ya Ilala lilipo Kinyerezi, huku akisema miongoni mwa mambo yanayomchukiza ni uchafu wa vyoo.

Akizungumza mbele ya watumishi wa mahakama na Jaji Kiongozi, Profesa Kabudi amesema kuna baadhi ya vitu lazima vizungumzwe kwa ukweli bila kificho hasa suala la utunzaji mazingira.

Tunaposema miundombinu niwe muwazi tu kwani maeneo katika ofisi zetu nyingi sitamani kwenda ni choo, hivyo lazima tuelezane ukweli kwenye mambo ambayo hatupendi kuelezana,“amesema.

Anayedaiwa kumzushia Magufuli kwenye Facebook arudi tena mahakamani

Soma na hizi

Tupia Comments