AyoTV

AUDIO: Ukweli kuhusu mwili wa marehemu uliokutwa ndani baada watu kutoka kuzika

on

Leo January 17 2017 imesikika moja ya stori ambayo imechukua headlines ni pamoja na hii iliyotokea Mbeya ambapo mtoto wa miaka tisa alifariki na baada ya kwenda kuzikwa waliporudi nyumbani wamekuta mwili wa marehemu ukiwa palepale.

Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufukua kaburi ili kuthibitisha ndipo hapo wamekuta kwenye jeneza walilozika hakuna kitu. Unaweza kubonyeza hapa chini kumsikiliza mwenyekiti wa mtaa akieleza ilivyokuwa

HEKAHEKA: Baada ya mazishi wanafamilia wakuta mwili wa marehemu chumbani, Bonyeza play hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments