AyoTV

Ahadi aliyoitoa Rais JPM baada ya kukutana na Balozi mdogo wa Marekani

on

Leo August 10, 2017 Rais Magufuli amekutana na Balozi mdogo wa Marekani Inmi Patterson Ikulu Dar es Saalam na kuahidi Tanzania itaendelea kushirikiana na Marekani.

>>>”Nawashukuru sana Serikali ya Marekani kwa sababu ni marafiki zetu na wanaipenda Tanzania, tuna ushirikiano nao mzuri na nimemueleza kwamba Tanzania na Serikali ninayoiongoza itaendelea kushirikiana na Marekani.” – Rais Magufuli.

ULIPITWA? Tajiri namba 1 wa dunia Bill Gates yuko Tanzania…tazama kwenye video hii hapa chini!!! 

PLAY kwenye video hii kujua alichozungumza Bill Gates baada ya kukutana na Waziri wa afya wa Tanzania!!

Soma na hizi

Tupia Comments