AyoTV

VIDEO: ‘Tulikuwa tukitukanwa hapa leo mnakuja na haya mengine’ –Abdallah Ulega

on

Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega amesema kuna watu walikuwa wanaitukana serikali kwa kushindwa kununua ndege hata ndogo na kushindwa hata na baadhi ya nchi za jirani lakini baada ya serikali kununua ndege mpya bado watu haohao wameendelea tena kutoa kasoro.

Ulega amesema…>>>‘Tulikuwa tukitukanwa kuwa nchi kubwa kama Tanzania inashindwa na vinchi vidogo, leo tumenunua ndege sita na mwakani tunanunua ya saba, watu wanakuja na maneno ya ajabu, mimi nasema hayo ni matango pori

VIDEO: Wabunge walivyosimama kumtetea Halima Mdee 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments