AyoTV

VIDEO: Swali la Mbunge Abdallah Ulega kwa Waziri wa Ujenzi, kero ya barabara jimboni kwake

on

Tunaendelea kuzisogelea headlines za bungeni Dodoma ambapo lao June 02 2016 bunge lilikuwa na kipindi cha maswali na majibu pekee kutoka kwa Wabunge huku yakitolewa majibu na Mawaziri. Mmoja wa waliopata nafasi ya kuuliza ni pamoja na Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega

>>>’Je, ni lini Serikali itawasaidia wananchi wa Mkuranga kwa kuwaunganisha kwa barabara moja kwa moja kutoka Mkuranga, Kisarawe hadi Kibaha bila kupitia mkoa wa Dar es salaam?‘ 

ULIIKOSA HII? MBUNGE KITETO KOSHUMA KASIMAMA KUHOJI ZILE MILION 50 ZA RAIS MAGUFULI KILA KIJIJI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments