Lindi pia ni moja ya halmashauri 18 zinazotekeleza mradi huu wa ULGSP ambao umesaidia halmashauri hii kuwa miongoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kubwa. Hapa nimekusogezea Dakika 10 zitakazokuonyesha namna Manispaa ya Lindi ilivyozitumia pesa ilizopata kupitia Mradi wa ULGSP kuiboresha halmashauri yake.
TOP 8: MATUKIO MAKUBWA YA KUKUMBUKWA UAPISHWAJI WA MHESHIMIWA JOKATE