Burudani

Uliikosa hii ya Kanye west alivyowaimbia wafungwa gerezani Marekani itazame hapa

on

Ni Headlines za rapper kutokea Marekani  Kanye West ambae kwasasa ameonekana akitumia muda mwingine kumtukuza Mungu huku kuziandaa nyimbo mbalimbali kupitia Sunday Service Church yake.

Sasa time hii amefika katika gereza moja huko Marekani na kuwaimbia wafungwa hao pamoja na kuwapa maneno ya kuwafariji itazamehii video ilivyokuwa.

Soma na hizi

Tupia Comments