Michezo

Ulimis kuona Ronaldo alivyoifikia rekodi ya Raul – nimekuwekea video yake hapa

on

2367D2F700000578-0-image-5_1417035576778Real Madrid jana ilisafiri mpaka Uswis kwenda kucheza na klabu ya FC Basel katika mfululizo wa mechi za makundi za ligi ya mabingwa wa ulaya.

Real Madrid walifanikiwa kutoka na ushindi wa 1-0 shukrani kwa mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo aliyefunga goli pekee kwenye mchezo huo na kuweza kuifikia rekodi ya gwiji wa klabu hiyo Raul Gonzalez ya ufungaji wa magoli kwenye michuano ya ulaya – Ronaldo sasa amefikisha magoli 71, sawa na Raul huku akiwa nyuma kwa magoli matatu kumfikia Lionel Messi mwenye magoli 74.

Angalia goli la kihistoria la Ronaldo hapa

Basel 0 – 1 Real Madrid – Champions League 2014… by Football–Live

Tupia Comments