“Nilikuwa namfahamu tangu akiwa udogoni nafahammu familia yake nafahamu anapokaa ila kuna muda kidogo alioondoka hapa ila juzi juzi akawa anapita hapa na pikipiki lake”- Dereva Taxi
“Ni mtu aliekuwa anajielewa sana, huyu bwana tangu anasoma akaja akaanza kujitegemea kufanya kazi kwasababu hawa baba yao alifariki kwahiyo alivyofariki inasemekana Baba yao aliwaachia mgodi wa dhahabu chunya Mbeya”- Dereva Taxi
“Wapo kama vijana wanne wamejikita kule kwahiyo wengine wanarudi hapa wanamuangalia mama yao kisha wanaondoka, hii ni nyumba ya msajili wamepangisha”- Dereva Taxi
Kufahamu zaidi unaweza ukabonyeza play kile kilichosemwa na Dereva Taxi kuhusu Hamza
TAZAMA JAMAA ALIVYOFYATUA OVYO RISASI HEWANI HUKU AKITEMBEA BARABARANI DSM
VIDEO:ASKARI ALIVYOPAMBANA NA MTU MMOJA ALIEKUWA AKIFYATUA RISASI OVYO DSM
MANENO ALIYOKUWA ANAONGEA MUUAJI WA ASKARI “ALITOKA BAHARINI, AKACHOMOA SILAHA MBILI, NIKAMSALIMIA”