Baada ya May 31 2016 Wizara ya mambo ya mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi ya kiasi cha shilingi 151,396,775,000.00 kwa mwaka wa fedha 2016/2017 kupitia kwa Waziri wake Augustine Mahiga.
Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia bajeti hiyo, mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga pia alikuwa mmoja wapo ambapo yeye alikuwa na mambo yake makubwa manne aliyotaka Wizara ihakikishe imeyashughulikia ikiwemo suala la watanzania wanaofungwa nchini China.
ULIIKOSA HII? MBUNGE LUSINDE ALIVYOWAONGELEA WAPINZANI KUKOSOA ISHU YA SAFARI ZA NJE ZA JK NA JPM
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE