Habari za Mastaa

Umati ulivyojitokeza kumzika mchekeshaji wa mizengwe, simanzi yatawala

on

Msanii wa vichekesho Jumanne Alela maarufu kama Mzee Matata aliyefariki jana amezikwa leo kwenye makaburi ya Buguruni Malapa jijini Dar es salaam. Matata alikuwa akisumbuliwa na Ugonjwa wa Kisukari na alipelekwa kwenye Hospitali mbalimbali za Dar es salaam kabla ya kupewa rufaa na kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili alikofia jana.

 

MKWERE AMWAGA MACHOZI MAKABURINI, ATAJA KAULI YA MZEE MATATA INAVYOMTESA “ALINIAMBIA HATOBOI”

 

Tupia Comments