AyoTV

Young Killer amerudi tena kwenye kioo chako na hii video mpya ya ‘umebadilika’

on

Young Killer 67Kwenye mfululizo wa single zake alizowahi kutoa hii ni ya 5 ikiwa ni baada ya Dear Gambe,Jana na Leo,Mrs. SuperStar,My Power na hii inaitwa Umebadilika ambapo mwanzoni ilifanywa Classic Sound lakini ikaja kurudiwa na Combination Sound kwa Man Water.

Video imefanywa na Director Hefemi Mtanzania ambae anaishi na kufanya kazi nchini Marekani.

Unataka stori kama hizi zisikupite? unataka kuwa kupata kila kinachonifikia? karibu ujiunge na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram Facebook

Tupia Comments