AyoTV

Ile video ya Mb Dogg ‘bado umenuna’ ndio imetoka, itazame hapa

on

Screen Shot 2014-05-21 at 12.16.50 PMUkamilifu wa video hii ambayo picha zake niliziweka hapa wiki chache zilizopita ni huu hapa japo video hii ilikamilika wiki kadhaa nyuma lakini walikua wakisubiri muda sahihi wa kuitoa, ukisha itazama usiache kuandika comment yako alafu baadae MB Dogg atapita kusoma watu wake wamemuandikia nini.

Bonyeza play kutazama.

Umeionaje? ni ujio mzuri kwa MB Dogg?

Stori kama hizi ni halali yako zisikupite…. ili niwe nakutumia kila kinachonifikia ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, kama upo Facebook na Instagram pia unaweza kubonyeza FB na INSTA ili kupata kila stori inayonifikia zikiwemo videoz, vituko, pichaz, music na mengine yote.

Tupia Comments