AyoTV

VIDEO: Waziri Ummy Mwalimu kasema ‘hatutachukua Daktari anayetaka kukaa Dar’

on

Wakati bunge la 11 likisubiri kujadili bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2016/2017 inayotaraji kuwasilishwa June 8 2016, nakusogeza karibu na yaliyojiri bungeni leo June 3 2016 katika kipindi cha maswali na majibu ambapo katika nafasi hiyo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema.. 

>>’Niombe madaktari wote na wataalamu wa afya ambao mnatarajia kuomba kazi Serikalini kwamba tutawapanga katika mikoa tisa ambayo ndio kipaumbele chetu, hatutachukua Daktari ambaye anataka kukaa Dar es salaam

ULIIKOSA HII? DAKIKA 2 ZA WABUNGE WAKITOKA BUNGENI KUONYESHA KUTOKUWA NA IMANI NA NAIBU SPIKA TULIA ACKSON

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments