Mix

UNAAMBIWA: Mambo manne ambayo huenda yamekupita na ulitakiwa uyajue

on

May 1, 2017 mtu wangu wa nguvu nakusogezea hii ambayo huenda ulikuwa haufahamu kuhusu Sayansi, ubunifu mbalimbali wa mavazi na mambo mengine mengi ambayo leo siyo mbaya nikikujuza.

Unaambiwa, kwa mujibu wa tajiri namba moja duniani Bill Gates, hadi kufikia mwaka 2035 hakutakuwa na nchi yoyote duniani ambayo itakuwa na umasikini wa kutupwa kama ilivyo sasa.

VIDEO: Kama unajiuliza fainali ya FA Simba vs Mbao FC itachezwa wapi. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments