Top Stories

UNAAMBIWA: Maziwa ya mgando yanasaidia usizeeke vibaya (+video)

on

Kunywa maziwa ya mgando kila wakati kutakusaidia usizeeke vibaya “kama uliutumia ujana wako vizuri kwa kunywa mtindi basi utazuia uwezekano wa kupata matatizo ya mifupa uzeeni”

“Zipo faida nyingi, mambo ya kubeuabeua yale hutokua nayo, pia una madini yanayosaidia sana kuimarisha mifupa na meno, kunywa kikombe kimoja tu kwa siku unapata 49% ya mahitaji yako ya siku ya madini chumvi”

“Vilevile mtindi unaimarisha kinga yako ya mwili na kuongeza ulinzi dhidi ya maradhi ya moyo na mengine yanayohusiana na mfumo wakati wa fahamu, hata wanaopunguza uzito wa mwili hunywa Mtindi kwasababu unakuongezea protini kwa wingi na sio wanga wala sukari” – Rr. Isaac Maro

LIVE: BILA WOGA “ACHIA HELA MAGUFULI, MAISHA MAGUMU, WANALIA”

Soma na hizi

Tupia Comments