Najua nina watu wangu ambapo hawako nyuma kufuatilia kila kinachoendelea katika ulimwengu huu ambao umejaa mambo mengi na mengine mapya yakiibuka kila siku ambapo kwa kutambua hilo, leo April 20, 2017 nimekusogezea mambo matano ambayo pengine hukuyafahamu.
Unaambiwa idadi ya kuku waliopo duniani, inazidi idadi ya watu wote walio hai mpaka muda huu.
#UNAAMBIWA Utafiti kuhusu usalama barabarani umeonesha wanawake wanaongoza kwa kutoa kauli mbovu wanapoendesha magari kuliko wanaume pic.twitter.com/vU82yuLrhm
— millardayo (@millardayo) April 20, 2017
#UNAAMBIWA Idadi ya kuku waliopo duniani, inazidi idadi ya watu wote walio hai mpaka muda huu. pic.twitter.com/N6DMvoGYkS
— millardayo (@millardayo) April 20, 2017
#UNAAMBIWA Snapchat ilianzishwa kwa lengo la kusambaza picha za utupu, wakati huo iliitwa Picaboo ikabadilishwa baada ya kupata umaarufu pic.twitter.com/XEJiLnqTTl
— millardayo (@millardayo) April 20, 2017
#UNAAMBIWA Kila binadamu anahitaji kupata si chini ya Mabusu matatu kila siku, tafiti zinasema tendo hilo huchangia kuongeza muda wa kuishi pic.twitter.com/ZLZZ2gT52S
— millardayo (@millardayo) April 20, 2017
#UNAAMBIWA Kusinzia wakati mchana hata kwa dakika chache tu husaidia kujenga kumbukumbu zako na kuondoa hatari ya kupata ugonjwa wa moyo pic.twitter.com/XvIPSKjqOF
— millardayo (@millardayo) April 20, 2017
VIDEO: “Sinema zetu zina mapungufu mengi lakini hiyo sio sababu za kuacha kudai haki zetu” – JB. Bonyeza play kutazama.