Mix

UNAAMBIWA: Mambo 5 ambayo hutakiwi yakupite

on

Najua nina watu wangu ambapo hawako nyuma kufuatilia kila kinachoendelea katika ulimwengu huu ambao umejaa mambo mengi na mengine mapya yakiibuka kila siku ambapo kwa kutambua hilo, leo April 20, 2017 nimekusogezea mambo matano ambayo pengine hukuyafahamu.

Unaambiwa idadi ya kuku waliopo duniani, inazidi idadi ya watu wote walio hai mpaka muda huu.

VIDEO: “Sinema zetu zina mapungufu mengi lakini hiyo sio sababu za kuacha kudai haki zetu” – JB. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments