fB insta twitter

UNAAMBIWA: Mambo matatu ambayo pengine ulikuwa huyafahamu

on

Nafahamu wapo watu wangu ambao wanapenda kujua mambo mapya kila siku ili kujifunza kulingana na mazingira yanayowazunguka.

Leo April 16, nimekusogezea mambo matatu ambayo pengine ulikuwa huyafahamu na kama uliyafahamu, basi endelea kuongeza maarifa ambapo unaambiwa Mamba hawaathiriki na michubuko au vidonda vikubwa katika miili yao ambayo ina uwezo wa kupambana na aina 23 za bakteria ikiwemo HIV.

VIDEO: Hatua zitakazochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya wanaosema vibaya mauaji ya askari. Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo 

Soma na hizi

Tupia Comments