Michezo

Unaweza kutazama magoli ya mechi za Man Utd vs Sunderland – Man City vs Everton hapa

on

article-2619382-1D8B994500000578-747_636x382

Manchester United leo imepoteza mchezo mwingine kwenye dimba lake la Old Trafford dhidi ya Sunderland, wakati huo huo mahasimu wao Man City wamefanikiwa kuiondoa Liverpool kileleni kwa ushindi dhidi ya Everton. Unaweza kuangalia video za magoli hapo chini…..

Sebastian Larsson Amazing Goal – Manchester… by eFailWinArmy

MAN CITY VS EVERTON

Everton vs Manchester City 2-3 ~ All Goals… by Sm1le664

Tupia Comments