Mix

Rais Magufuli amethibitisha uteuzi wa Mkurugenzi huyu kutoka TCRA

on

Jumapili October 9, 2016 Nakusogezea taarifa hii kutoka Ikulu ya Tanzania kuhusu Rais John Magufuli kumthibitisha rasmi Engineer James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA.

cuu3yf2xeaa2ijt

ULIMISS KUONA JINSI SIMU YA TECNO PHANTOM 6 ILIVYOANZA KUUZWA TANZANIA? TAZAMA HAPA 

Soma na hizi

Tupia Comments