Mix

Ungependa kujua alichopost Mrisho Ngassa kuhusu Amisi Tambwe wa Simba? Hiki hapa

on

tambwe-1

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Mrisho Ngassa juzi alifanya kitu ambacho wapenzi wengi wa klabu yake ya Yanga wanaweza kuwa hawajawahi kukifikiria kama angekifanya – hii ilikuwa baada ya kutumia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter kutoa sifa kwa mshambuliaji wa kimataifa wa mahasimu wao klabu ya Simba – Amis Tambwe.

Ngassa aliandika

ngassa tambwe

 

 

Tupia Comments