Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mrembo wa dunia wa Miss Universe ametangazwa… Kenya yavunja rekodi
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Mrembo wa dunia wa Miss Universe ametangazwa… Kenya yavunja rekodi
Mix

Mrembo wa dunia wa Miss Universe ametangazwa… Kenya yavunja rekodi

January 30, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Shindano la 65 la kumtafuta Miss Universe limemalizika huko Ufilipino ambapo Mshindi ametangazwa kwamba ni Iris Mittenaere wa Ufaransa huku nafasi ya pili ikichukuliwa na Haiti kupitia kwa Raquel Pelissier na namba 3 akiwa ni Andrea Tovar wa Colombia.

Mshindi wa 2017 baada ya kuvishwa taji

Lilikua ni shindano lenye msisimko hasa ukizingatia Afrika ikiwemo Tanzania ziliwakilishwa na Warembo wa nchi mbalimbali ambapo hamasa zaidi ya kutaka kujua kitachotokea ilipanda zaidi baada ya Miss Kenya Mary Esther Were kutangazwa kuingia kwenye 9 bora akiwa ni Mrembo pekee wa Afrika kuingia Top 9.

Roho za Waafrika hasa Afrika Mashariki zikawekwa juujuu zaidi baada ya Mrembo huyo wa Kenya kutangazwa kuingia kwenye 6 bora ambapo hata hivyo kwenye 3 bora hakufanikiwa, unaweza kutazama kwenye hii video fupi hapa chini akitangazwa kwenye Top 6.

‪LIVE: Miss Universe 2017 Top 6 imetangazwa, Mshiriki pekee wa Afrika kwenye list ni #MissUniverseKENYA #MissKenya #MaryEstherWere #Top6‬

A video posted by millard ayo (@millardayo) on Jan 29, 2017 at 6:21pm PST

Tanzania iliwakilishwa na Jihan Dimack

ULIPITWA? Miss Tanzania 2016 Diana amekaa kwenye On AiR with Millard Ayo na kusema na waliosema anasura na ngozi mbaya, bonyeza play hapa chini kumtazama

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: trendingworldwide
Millard Ayo January 30, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania January 30, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Next Article PICHA 3: Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete bado anaitumikia Afrika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?