AyoTV

VIDEO: Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano – Dodoma

on

Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika leo April 26, 2017 katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma na kuhudhuriwa na watu mbalimbali pamoja na viongozi ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli.

Tanganyika na Zanzibar ziliungana April 26, 1964 chini ya hayati Baba wa Taifa, Mwalim Julius Nyerere na hayati Sheikh Abeid Karume.

Bonyeza play kutazama…

VIEDO: Onesho la Mbwa na Farasi kwenye sherehe za Muungano Dodoma. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments