Featured

Miss Universe Tanzania fainali ni Ijumaa, ninazo rekodi kubwa zilizowahi kuwekwa duniani.. (Video)

on

Kama hujajua kwenye mashindano ya Miss Universe Tanzania mrembo wa kwanza kuvaa Taji hilo la ushindi ni Flaviana Matata, ambaye sasahivi anagusa headlines za mitindo duniani !!

MISS UNI

Mashindano hayo yalianza mwaka 2007 na yanaendelea mtu wangu… Fainali nyingine ya Mashindano hayo ni November 20 2015, siku mbili zijazo hapahapa Dar es Salaam…

Nakukutanisha na mmoja ya wasimamizi wa Miss Universe 2015, anaitwa Mwanakombo Salim… unajua kwamba Flaviana Matata aliingia Top Ten duniani na ndio mrembo wa kwanza Afrika kuingia kwenye nafasi hiyo? Unajua rekodi nyingine kubwa zilizopita? Majibu yako kwenye hii video ya dakika tano za #AyoTV.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments