AyoTV

VIDEO: ‘Hatuwezi kukubali uhalifu uendelee, tutachukua hatua kali’-Naibu Waziri Masauni

on

Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Eng Hamad Masauni amesema kumekuwa na matukio ya Jeshi la Polisi, waandishi wa habari pamoja na wananchi wa kawaida kufanyiwa fujo na baadhi ya watu hivyo serikali itahakikisha inachukua hatua kali za kisheria kwa watuhumiwa.

Eng. Masauni amesema…>>>‘Uhalifu wa aina yoyote utakaofanywa na mtu au chama chochote hatutokubali na tutachukua hatua kali za kisheria

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: Maswali na majibu yaliyosikika Bungeni April 27, 2017 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments